SOPRANO |
Soprano amewahasa wasanii wanaochipukia na wale waliomo katika game kuwa ni vyema wasanii wakashika utamaduni kuliko kuutupa na mwisho kuanza kuiga iga mambo ambayo wanakimbilia kuyonesha katika video zao jamabo ambalo linaweza kuwaingiza katika hasara kubwa katika muziki wao.
Ameyasema hayo alipokuwa akiongea na mwanhabari wetu kuhusu yeye anasemaje kuhusiana na jambo la TCRA kufungia video za wasanii kwa sababu za kukiuka maadili y kitanzania na kuonesha mambo yaliyovuka mipaka na yeye kusema kuwa hiyo ni watu waliowengi kufata mambo ya kuiga na hasa wasanii wanachoishia ni kuonesha mamba hayo y kuiga katika video zao.
MZIGO WA SOPRANO SOKONI |
Soprano kwa sasa yuko katika machaka mchaka wa kuachia mizigo yake kama ngoma mpya inayokweda kwa jina ''SIELEWI NAONA DOUBLE DOUBLE'' ambapo ujio huo wa ngoma hiyo ni muambatano wa T-Shirt na vest zenye logo ya ngoma yake mpya ijayo na kwasasa unapatikana Kiwalani jijini Dar Es Salaam ila tu baadae utaweza kuupata katika maeneo tofauti atakayowatangazia wadau.
Post a Comment