Walter Chilambo |
Msanii Walter Chilambo baada ya kuwa chini ya usimamizi wa kampuni ya Zantel tangu kipindi cha kumalizika kwa mashindano ya Epiq Bongo Star Search sasa aamua kufanya kazi nje ya mkataba kwakuwa mkataba wake na wao umemalizika na kazi ya kwanza toka kwake akiwa nje ya mkataba ni ''MAVELA''.
Walter Chilambo hapa anayekuja na ngoma ya ''MAVELA'' ameifanya chini ya mtayarishaji Emma The Boy hii ni ngoma yake ya kwaza itakayotoka soon na hii ngoma ni ngoma inayohusu mapenzi ikiwa Mavela ni jina lla binti ambaye anaombwa msamaha na Walter katika hiyo ngoma.
Kupitia Blog hii utaweza kuipata siku ya kesho na kupitia vituo vya radio siku ya jumatatu itaanza kusikika rasmi na utambulisho wa ngoma hiyo katika media week inayoanza juma tatu ndo utakuwa ukifanyia hiyo kaa nasi pia tegea sikio redio kuanzia kesho mpaka mwisho wa week inayoanza jumatatu.
Post a Comment