|
PNC |
Msaii amayae amekuwa chini ya uongozi wa Ostaz Juma na Msoma na baadae akasikika akilalamika kuwa uongozi haumtendei kile anachpoaswa na kusema hakuwa akielewa kama yuko chini ya manager(OSTAZ) au vipi jambo ambalolilipelekea wakosane na Ostaz na mwisho akawa ametimuliwa katika music label ya Mtanashati Entertainment sasa amerudi mikono nyuma akiomba msamaha kurudi iliaendelee kufanya kazi na Ostaz Juma.
Kupitia account ya facebook ya Ostaz Juma amepost picha akionesha PNC akimpigia magoti aliomba msammaha na kurudi katika uongozi wake...
''Ahahaha jamani muziki ni kazi pnc arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi na mtanashati''
ITAZAME HAPA VIDEO PNC AKIOMBA MSAMAHA KWA OSTAZ JUMA NA MSOMA
Post a Comment