Ostaz Juma akiongeza amesema kuwa mtu anapokuwa anaomba msamaha anaweza kuomba kwa njia yoyote na njia aliyoitumia PNC ni kwa kupiga magoti hivyo sio mbaya na hiyo ni kwakuwa najua ni huduma gani yeye uzipata akiwa chini ya management yangu na ndo maani walio muona wameona kama nikumdhalilisha lakini hawajui ni matatizo gani tunayapitia tunapokuwa tukiwashika wasanii kama hawa.
Akizungumzia kuwa na wasanii watakao kuwa chini ya usimamizi wake ni kuwa hataki msanii yeyote na haijalishi kama msanii ni mkubwa kisanaa wala kiumbo na hwa awe mdogo kiumbo kwakuwa kuwa na wasanii katika usimamizi ni usumbufu na ni stress sana.
MSIKILIZE OSTAZ AKIFUNGUKA.
Post a Comment