Wema Sepetu |
Wema Sepetu aleyasema hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha leo tena cha Clouds Fm alipoulizwa angependa kuolewa lini na mwanaume wa aina gani ingawa katika majibu yale hakueleza lini yuko tayari kuolewa kakuwa alidai mapenzi hayana taarifa bali unyesha kama mvua baada ya dalili za wapenzi kuingiana moyoni..
Akifafanua alisema kuwa katika kuishi kwake hajawahi kuwa na mwanaume mweupe na hapendi mwanaume mweusi na mpaka sasa hapendi kuolewa na mwaume mweupe.
Post a Comment