Mwanzo » » WEMA AKIRI KUWA NA DIAMOND NA SOON WATAFUNGA NDOA (IMEKUWA NGUMU PENZI HILI KUVUNJIKA KABISA)

WEMA AKIRI KUWA NA DIAMOND NA SOON WATAFUNGA NDOA (IMEKUWA NGUMU PENZI HILI KUVUNJIKA KABISA)

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 28 February 2014 | 11:49


Akizungumza kupitia kipindi cha Leo tena amesema kuwa walirudiana ingawa hakutaka kubainisha ni lini walirudiana na Diamond Platnumz na tangu warudiane wamekuwa katika maisha yao kwa asilimia kubwa wanapanga mambo yao kimaisha na amekanusha taarifa za yeye kuwa mjamzito kwakuwa hali aliyonayo ni kunenepa tu kwasababu ya maisha anayoishi.

Akizungumzia hali ya ukimya kimya wa mapenzi yao ni amesema kuwa kipindi kile cha wao kuonekana onekana mambo yao kuwa hadharani ni kwakuwa may be ulikuwa ni utoto utoto ila kwasasa mambo yao wanayaendesha kiutu uzima.


Ndoto za kupata mpenzi  na mtoto na mtu anayempenda ni mtoto wa kiume na sala zake kubwa kupata mtoto wa Kiume na amewashukuru sana watu wanamuombea yeye maisha mema na mpenzi wake Diamond Platnumz.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa