Star wa bongo movie Jacque Steven Pentzel amewashangaza watu wengi kwa kutimiza mwaka mmoja wa ndoa yake ikiwa ni tofauti na mtazamo wa watu waliokua wakidhani ndoa iyo aitodumu ata miez mitatu, hatimae Tarehe 22 mwezi huu Jacque Pentzel ametimiza mwaka mmoja (Annivesarry) ya ndoa yake na mumewe Gadner Dibibi.
Jacque aliandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa "Namshukuru Allah kwa kuniwezesha kufikisha mwaka mmoja wa ndoa yangu na mume wangu kipenzi Bw. Gadner Dibibi, tumepitia mengi lakini Inshallah tunavumiliana"
Jacque alifunga ndoa mwaka jana Tarehe 22, March kwenye msikiti wa Magomeni Makuti na kubadili dini kuwa Muislam na hivi sasa anatambulika kwa jina la Kauthar Dibibi.
Jacque Pentzel akiwa na Mumewe Gadner Dibibi siku walipofunga ndoa.
Dog House Megaways: Slot Gacor dengan Kemenangan Besar
-
Pendahuluan Dog House Megaways dari Pragmatic Play adalah salah satu game
slot online gacor yang populer di kalangan pemain karena fitur Megaways
yang me...
Post a Comment