Mwanzo » » BIRTHDAY PARTY YA BONGO MOVIE MAMBO YALIENDA KAMA HIVI, SHILOLE ATISHA SANA.

BIRTHDAY PARTY YA BONGO MOVIE MAMBO YALIENDA KAMA HIVI, SHILOLE ATISHA SANA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Sunday 30 March 2014 | 03:06

Shilole katika picha ya pozi kwenye zulia jekundu ‘red carpet’.

Shamsa Ford akihojiwa kwenye zulia jekundu.

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Unity wakiingia ukumbini.

Sandra (kushoto) na Eshe Buheti wakiwa kwenye zulia jekundu.

Wasanii na mashabiki wao wakicheza muziki.

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ akizungumza machache mbele ya watu waliohudhuria.


Steve Nyerere akikata keki.

Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwa wasanii wa Kundi la Bongo Movie Unity waliokuwa wakisherehekea kundi hilo kutimiza miaka mitatu tangu lilipoanzishwa.
Sherehe za kumbukumbu hiyo zilifanyika kwenye Ukumbi wa Arcade, Mikocheni jijini Dar ambapo wasanii walianza kwa kupiga picha kwenye zulia jekundu ‘red carpet’ na watu kibao waliohudhuria.
Kwa upande wa burudani ya muziki, wanamuziki Linex, Amini, Pendo wa Maisha Plus, Shilole, Bendi ya Fm Academia na Bendi ya BM walitoa burudani ya aina yake na kusababisha ukumbi wote kulipuka kwa shangwe.


GPL
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa