Watu wawili walishukiwa kupanga kufanya uharifu ambao walikuwa katika piki piki iliyotambulika kwa number za usajili T 225 CQC aina ya Kapor ambapo mpaka kukamatwa kwao wakiwa katika njia ya kutekeleza tukio la kiharifu wamekutwa na silaha eneo la kituo cha mafuta eneo la Kongwe-Mbagala jijini Dar es Salaam.
Kupitia mtego waliotega maasikari 10 waliokuwa wamevalia kiraia eneo hilo walifanikisha kuwatia mbaloni wakiwa na usafiri wa Land Cruiser nambari za usajili T 148 AEN na T 848 AGF.
Kupitia mtego waliotega maasikari 10 waliokuwa wamevalia kiraia eneo hilo walifanikisha kuwatia mbaloni wakiwa na usafiri wa Land Cruiser nambari za usajili T 148 AEN na T 848 AGF.
Post a Comment