Mwanzo » » BREAKING NEWS: SAMWELI SITTA AUBUKA MSHINDI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA.

BREAKING NEWS: SAMWELI SITTA AUBUKA MSHINDI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 12 March 2014 | 19:13

SAMWEL SITTA
Aliyekuwa Spika wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Samweli Sitta baada ya kutangaza kugombea kiti cha mwenyekiti wa Bunge la katiba ameibuka kuwa mshindi baada ya kuibuka na idadi ya kura 487 mgombea Hashim Rungwe kupata kura 69 na jumla ya walio piga kura ni 566 na kura zilizoharibika na kura 7 tu.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa