Mwanzo » » BUSU LA MBWA LA MTIA UCHIZI BONGO MOVIE STAR AUNT EZEKIEL.

BUSU LA MBWA LA MTIA UCHIZI BONGO MOVIE STAR AUNT EZEKIEL.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 29 March 2014 | 10:48


DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameonekana kuchizika na busu la mbwa baada ya kunaswa akiwa amewabeba mbwa wawili na kufurahia mmoja wapo alipombusu.
Diva wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel.
Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Wema Sepetu, Kijitonyama, jijini Dar. Alipoulizwa furaha aliyokuwa nayo baada ya kubusiwa na mbwa huyo, Aunt alisema: “Haipimiki. Natamani na mimi kuwafuga.”
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa