Msanii wa muziki wa kizazi kipya ''Bongo Fleva'' Nasib Abdul ''Diamond Platnumz'' anazidi kuchanja mbuga tangu alipopiga hatua yake kubwa kimuziki na wimbo wake wa ''My Number One'' chini ya utayarishaji wa Producer Sheddy Clever ngoma ambayo katika uaandaa imetajwa kuwa ni video ya kwanza Tanzania kugharimu kiasi kikubwa cha pesa(45Mil. Tshs) hata kujipatia collabo la Remix ya wimbo huo na mkali kutoka Nigeria Davido sasa nyota imewaka Afrika ikiwa ni siku kadhaa tu kwa taarifa za kuwa ngoma ya My number one mbali na kuchezwa katika vituo tofauti vya kimataifa na kushika nafasi ya kwanza Trace Tv mfululizo kwa week kadhaa sasa Diamond Pltnumz siku zi nyungi ataianza safari Nigeria mpaka Ghana kwa ajili ya kushoot Video ambayo mpaka sasa Diamona hajataka kuweka wazi na kuyafanya macollabo kadhaa ambayo amaombwa na wasanii tofauti waliopata kusikia ngoma zake na kugundua uwezo wake.
Post a Comment