Mwanzo »
» (VIDEO) RAIS UHURU KENYATTA MTAANI AKINUNUA KARANGA
|
RAIS UHURU KENYATTA. |
Nchi ya Kenya imekuwa ni moja ya nchi zenye watu wanogonga sana vicha vya habari mara kwa mara na mara hii ni Rais wa nchi hiyo Ndugu Uhuru Kenyatta ambapo jambo ambalo halikuwa likitegemewa na waliowengi ni kwa kitendo cha yeye kuingia mtaani na kununua karanga za wale akina mama waliojipa kibalua cha kutafuta riziki kwa njia na biashara ndogo ndogo za kuuza karanga mitaani.
Itazame Video na lakufurahisha na kushangaza ni kwamba RRais Uhuru Kenyatta hakuwa na msafara kama ilivyozoeleka.
Post a Comment