|
H-BABA |
Msanii H-Baba aingia katika wimbi la wasanii wanaovijishiwa nyimbo zao na hii kwa upande wake ni baada ya kuibiwa na watu wasiojulikana ambapo walivunja kioo kidogo cha agri lake na kuiba vitu vilivyokuwemo ikiwemo flash Disc aliyokuwa na kazi kadhaa ikiwemo ngoma mpya kadhaa na hii ambayo imeshaa nza kusambazwa mitandoni inayojulikana kama ''TUBEBANE''.
Taarifa kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii H-Baba aliandikia kuwa walioimba vitu vyake na kuanza kusambaza nyimbo zake waache ba kama watashindwa kufanya hivyo basi wahariharibu Flash kuliko kuendelea kuvujisha kazi zake ambazo hajapanga kuziachia.
Post a Comment