|
Malle |
Rapper mwenye mitazamo chanya katika game la muziki Malle Martxist amepost maneno yanayooacha njia panda kuhusu Tuzo na majina ya waliotajwa kushiriki tuzo hizo ambapo kwa haraka hara imeonekana hakuna wasanii wanaiwakirisha Tamadunimuzik mali n akuonekana kufanya vizuri katika mitandao ya kijamii.
Kule nchini Kenya kupitia ,tandao wa Mdundo.com wapo wakali kama Nikki Mbishi,Songa na wengine wengi wanozidi kushika namba nzuri katika Downloads jambo linaloweka wazi kuwa ni wakali na wanastahiki kuwa katika moja ya vinyanganyiro vya tuzo za hip hop.
HIKI NDICHO ALICHOKIPOST.
Post a Comment