Mwanzo » » MASANJA MKANDAMIZAJI AMSHUKURU MUNGU KWA MAFANIKIO HAYA.

MASANJA MKANDAMIZAJI AMSHUKURU MUNGU KWA MAFANIKIO HAYA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Wednesday, 26 March 2014 | 20:51


Msanii wa muziki wa injili Bongo na mchekeshaji Masanja Mkandamizaji amekuwa miongozi mwa wasanii wenye mafanikio ya kiasi cha kutamaniwa na yeyote mtafutaji hasa wanasanaa wenzake kwa maana tumekuwa tukiona idadi za baadhi ya wasanii wenye majina makubwa ikiwa kimafanikio wako chini.

Kwa Masanja ni mmoja wa waliona mafanikio na hili ni gari analotembelea ambalo aliamua kutupia picha gari hilo mtandao kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuweka maneno kuwa ''My God is Good''.

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa