Mwanzo » » HII NI TAARIFA NJEMA TOKA SWEDEN KUHUSU BONGO FLEVA.

HII NI TAARIFA NJEMA TOKA SWEDEN KUHUSU BONGO FLEVA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Sunday 30 March 2014 | 02:22


Mambo vipi?
Nafurahi sana kuwaambia Bongo Flava imeanza kupigwa huku Sweden! Mbele Kiza iko hewani kila siku na kesho (Jumapili 29/3) nimepata nafasi kuingia program kubwa ya top ten ya wasanii wasweden! Ni mara ya kwanza kwa watu wa Sweden kusikia lugha ya Kiswahili hewani. Tunakaribia kusambaza bongo flava duniani! Go Tanzania!
Tupo pamoja! /SaRaha
Sara Larsson
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa