Mwanzo » » HILI NDILO GARI JIPYA KABISA LA MSANII WA BONGO FLEVA LINEX SUNDAY MJEDA.

HILI NDILO GARI JIPYA KABISA LA MSANII WA BONGO FLEVA LINEX SUNDAY MJEDA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Sunday 30 March 2014 | 02:12

Linex Sunday Mjeda

Gari Jipya la Linex Kwa Mwaka huu

Picha hiyo hapo juu Kwa Mwaka jana(2013) Linex Sunday Mjeda aliweka wazi kununua Gari hili na ikabainika kuwa Linex mbali na Biashara ndogo ndogo za kijasiliamali hana michakato mingine zaidi ya muziki ambao umeonekana kumuingizia kipato kwa kiasi cha kumfanya kuwa miongoni mwa wsanii wenye maendeleo kimuziki na kimpatao pia.




Kupitia kurasa wake wa Facebook (LinexSunday Mjeda) Linex alipost picha inayoonesha mkoko wake mpya ambao unaonekana  kuwa ni jasho la kile anachoangaika kukifanya kila kukicha na kuandka haya ''
Tanx God hustle zangu naanza kuziona Mungu ibariki kazi ya mikono yangu nikipatacho lq hasha sikipati kwa mkato nakipata katika misingi inayokubalika kwenye jamii#voa'' 

Muonekano wa Post yake Kuhusu Gari Lake Jipya.



Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa