Mwanzo » » ITAZAME SAFARI YA DIAMOND PLATNUMZ AKIELEKEA NCHINI NIGERIA.

ITAZAME SAFARI YA DIAMOND PLATNUMZ AKIELEKEA NCHINI NIGERIA.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday 30 March 2014 | 13:43


Safari ya Diamond kuelekea nchini Nigeria ni pamoja na kushoot video ya ngoma yake mpya ambayo imeonekana kabisa amefanya na wasanii wa huko ikiwemo pia na kukamilisha zile collabo alizofanya na wasanii wa Nigeria na Ghana.



Leo mapema  Diamond Pltnumz amesafiri kielekea nchi hizo na akiwa na manager wake Babu Tale ambaye pia ni manager wa kundi la Tip Top Connection na mara hii safari iko tofauti maana imekuwa ikionekana Dimond usafiri na kipenzi chake lakini mara hii Wema Sepetu amebaki nchini na kumuacha Diamond asafiri .

Diamon amepost picha leo kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JNIA tayari kwa safari.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa