Mwanzo » » LULU AWEKA LULU ZA MWILI WAKE KATIKA UKURASA WA MBELE WA JARIDA LA VIBE TZ.

LULU AWEKA LULU ZA MWILI WAKE KATIKA UKURASA WA MBELE WA JARIDA LA VIBE TZ.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Monday, 24 March 2014 | 22:05

Baada ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine sasa ni wakati wa elizabeth michael “lulu”. Lulu ameamua kufunguka kuhusu mambo mengi yanayoendele katika maisha yake na unachotakiwa kufanya ni kusubiri visiku vichache kabla vibe magazine halijadondoka mtaani kwako.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa