Mwanzo » » MASHABIKI WA JOSE CHAMELEONE WAKUBALI KUNYESHEWA NA MVUA KUBWA KUISHUHUDIA SHOW YAKE.

MASHABIKI WA JOSE CHAMELEONE WAKUBALI KUNYESHEWA NA MVUA KUBWA KUISHUHUDIA SHOW YAKE.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday 30 March 2014 | 00:29



Mashabiki wa Jose Chameleone wamethibitisha kuwa mvua haiwezi kuwakwamisha kushuhudia na kufurahia show yake ya Tubonge Live iliyofanyika Ijumaa jijini Kampala.

1975270_601015646642156_654777460_n

Pamoja na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha wakati show ikiendelea, mashabiki hao wa Uganda hawakukimbia kwenda kutafuta sehemu ya kujikinga na mvua bali walikubali kuloana na mvua hiyo ili tu waushuhudie moto wake.


“As God blessed us with a rain shower we kept moving!!!! I am so happy and want to thank all my friends who endured the rain for me the TUBONGE PRIDE is yours may God bless you all. I love you all. We made HISTORY,” ameandia nyota huyo kwenye ukurasa wa Facebook.

1526804_600824026661318_462397009_n



1979627_600823963327991_260525674_n


10151399_600823943327993_398815193_n

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa