Mwanzo » » MLEGEZO WAPIGWA MARUFUKU NA ATAKAYE KUTWA KAVAA HIVYO SHERIA ITAMHUSU.

MLEGEZO WAPIGWA MARUFUKU NA ATAKAYE KUTWA KAVAA HIVYO SHERIA ITAMHUSU.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday 30 March 2014 | 12:50

Jimbo la Lousiana nchini Marekani limepitisha sheria itakayowabana vijana au mtu anayevaa suruali chini ya makalio.
Sheria hiyo inasema kuwa kijana atakayevaa suruali chini ya makalio kwa mara ya kwanza akikamatwa atapigwa faini ya Dola 50,na akikamatwa kwa mara ya pili atapigwa faini ya Dola 100. 


Mpaka kupitishwa kwa sheria hii imeonekana kuwa Milegezo ni tatizo kubwa kwenye Jimbo hilo na ilifikia wakati vijana wanavaa hivyo ata kwenye ofici kubwa za serikali kama Mahakamani.
noma
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa