Alikubaliwa na Kala Jeremiah na wakakubaliana kufanya ngoma na ilijulikana kama Taswira kwa pamoja wanaiwakilisha Rock City na mara hii kwa mara ya kwanza kabisa ni ngoma mpya toka kwake kwa mwaka wa 2014 huyu wakuitwa Natty E amefanya na Zedy na ngoma wanitambulisha kwa jina ''Hainaga Noma'' na kama vipi noma hakuna kwa wewe kushare na kusupport the Rock City Chick kwa kuwa ni miongoni mwa marapper wachahce wa kike wanaocha na kuandika tungo zenye wasifu wa kuitwa kali.
wing888 slot เกมสล็อตแตกง่าย บริการไวปลอดภัยสูง
-
wing888 slot คือชื่อที่ถูกพูดถึงอย่างต่อเนื่องในกลุ่มผู้ชื่นชอบเกมออนไลน์
เพราะที่นี่ให้ความรู้สึกมั่นคงตั้งแต่แรกเข้า
พร้อมด้วยระบบที่เสถียรตอบสนองไวต่อกา...

Post a Comment