Mwanzo » » BARACK OBAMA,LUPITA NYONG'O,WINNIE MANDELA WAPATA MUALIKO KATIKA HARUSI YA RAPPER KANYE WEST.

BARACK OBAMA,LUPITA NYONG'O,WINNIE MANDELA WAPATA MUALIKO KATIKA HARUSI YA RAPPER KANYE WEST.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday 6 April 2014 | 23:47

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjet9HTZR6JMRwpuY0w45ewVjhCY66NxG87XPuDRxFYKrMlsseflTWCpJYMPX4EJ53NwTeUwHJgt_f1X6QO-Qijm0GV636HvSn2UEdD_NPtqNDzKuwKOLID5JuNMKJt2em83k8l9lBqq_3p/s1600/032_27_Kanye_West_Runaway_2010_pureprimary_com-blog.jpg


Kanye West na mchumba wake ambaye pia ni mama wa mwanaye Kim Kardashian wako katika maandalizi ya harusi yao inatarajiwa kufanyika (May 24) huko Paris, Ufaransa. 
Kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu maandalizi ya harusi hiyo ikiwa ni pamoja na wageni wanaotarajiwa kupewa mwaliko wa kuhudhuria harusi hiyo.

 Kwa mujibu wa jarida la American Heat, tayari Kanye (36) amempatia msaidizi wake orodha ya wageni 600 anaotaka kuwaalika katika harusi yao.
 Baadhi ya watu mashuhuri ambao wako katika orodha hiyo ya wageni 600 ni pamoja na Rais wa Marekani Barack Obama, pamoja na Prince William na mkewe Catherine wa Uingereza.
 Kwa mujibu wa jarida hilo mastaa kutoka Afrika ambao wako katika orodha ya waalikwa ni pamoja na mke wa zamani wa hayati Nelson Mandela, Winnie Mandela pamoja na staa aliyeiteka Hollywood kwa sasa Lupita Nyong’o.
 Mastaa wengine walioko kwenye orodha hiyo ni Jay Z na Beyonce, Jamie Foxx, Jared Leto, will.i.am, Chris Martin na Oprah Winfrey,



Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa