Mwanzo » » HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA MUIGIZAJI LULU KATIKA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MUIGIZAJI MWENZAKE STEVE KANUMBA.

HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA MUIGIZAJI LULU KATIKA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MUIGIZAJI MWENZAKE STEVE KANUMBA.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 7 April 2014 | 12:52

Leo (April 7) aliyekuwa muigizaji wa Bongo movie marehemu Steven Kanumba anatimiza miaka miwili tangu afariki dunia. Aliyekuwa mpenzi wake Elizabeth Michael aka Lulu ameandika ujumbe wa kumkumbuka marehemu Kanumba.
Lulu-331
Hiki ndicho alichokiandika kupitia akaunti yake ya Instagram (@Officiallulumichael):
Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu
kanumba

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa