Mwanzo » » HIKI NDICHO ALICHOSEMA EMMANUEL OKWI KUHUSU TAARIFA ZA YEYE KUONDOKA CLUB YA YANGA.

HIKI NDICHO ALICHOSEMA EMMANUEL OKWI KUHUSU TAARIFA ZA YEYE KUONDOKA CLUB YA YANGA.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 5 April 2014 | 21:49

OKWISiku kadhaa baada ya kutoka taarifa kwamba mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda anayekipiga klabu bingwa ya Tanzania bara Yanga, Emmanuel Okwi amegoma kuendelea kuichezea timu hiyo kutokana na kuidai timu hiyo, hatimaye leo hii kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook Okwi amevunja ukimya na kuzungumzia suala hilo.
Hiki ndicho alichoandika leo
OKWI copy

Kwa mujibu wa Okwi sio kweli kwamba ameondoka Yanga, bali amepata majeraha ya goti yanayomfanya asiwepo kwenye kikosi cha Yanga. Amewashukuru mashabiki wa klabu hiyo kwa imani waliyonayo juu yake na kuahidi kurudi dimbani kuitumikia klabu hiyo atakapopona.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa