Mwanzo » » HIKI NDICHO DIAMOND PLATNUMZ NACHOMFANYIA BABA YAKE MZAZI.

HIKI NDICHO DIAMOND PLATNUMZ NACHOMFANYIA BABA YAKE MZAZI.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 7 April 2014 | 23:36


Baba Mzazi wa Mwanamuziki Maarufu na Mwenye Pesa nyingi Kutokana na Mziki Kuliko Wanamuziki Wote Bongo Diamond Amefunguka na Kuliambia Gazeti Moja hapa Bongo Kuwa Mwanamuziki huyu Si Ridhiki Kwake kwani Hamjali wala kumsaidia kama Baba yake ...Mpaka Leo haijulikani kwanini Diamond hamkubali huyu jamaa kama baba yake...Mapenzi yote amehamishia kwa mama yake ambae ndio aliyemleta toka akiwa mdogo......Diamond Msamehe Mzee Hata kama alikutosa ukiwa Mdogo......!!!
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa