Mwanzo » » HII NI SUPRISE TOKA KWA VICHWA VIWILI TOKA MWANZA.

HII NI SUPRISE TOKA KWA VICHWA VIWILI TOKA MWANZA.

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday 8 April 2014 | 12:26



Ni mazao yaliyoiwahikuliwakilisha poa jiji la Mwanza katika mashindano ya Bongo Star Search yaani hapa Kala Jeremiah na Pale Firsty Godfrey na kwa pamoja wanakuja na ngoma yenye mchanganyiko wa radha zenye kuliteka game la bongo kuanzia michano yenye tungo kali ubunifu na melody zenye utamu wa muziki mzuri na ngoma hiyo ya pamoja itakwenda kwa Jina ''SUPRISE'' hivy kuanzia sasa kaa tayari kupokea kazii kwa mikono miwlili.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa