Mwanzo » » MTANGAZAJI WA KIKE WA TIMES FM AAMBULIA MATUSI MARA BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA BAFUNI.

MTANGAZAJI WA KIKE WA TIMES FM AAMBULIA MATUSI MARA BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA BAFUNI.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 7 April 2014 | 00:04

MTANGAZAJI wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amewashangaza watu baada ya kutundika mtandaoni picha zinazomuonesha akioga bafuni huku nyingine akiwa maliwatoni.

Picha hizo zinapatikana kwenye mtandao wake na hakueleza ilikuwa wapi ila akasema
ilikuwa ni siku alipoamua kuitumia wikiendi yake ipasavyo katika hoteli ambayo hakuitaja jina. 

 
Baadhi ya watu waliyoziona picha hizo walimponda wakidai eti ni ulimbukeni lakini wapo waliomtetea kwa kusema, ni staili tu ya maisha aliyoamua kuishi.

“Ushamba tu, ndo nini sasa? Angetuwekea ‘akikata gogo’ pia,” alisema mmoja wa wadau huku mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Dick akisema: “Msimuonee wivu mwenzenu,
anakula bata zake na nyie hamjakatazwa.”

Dida alipoulizwa kuhusu kujianika hivyo alisema, hizo ni ishu zake binafsi na wapenzi wake wanapenda kuona kila anachokifanya, ndiyo maana anawawekea kwenye blogu yake
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa