Mwanzo » » MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE ''LULU'' APIGA VITA HONGO NA KUSHAURI UANGAIKAJI KWA WOTE.

MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE ''LULU'' APIGA VITA HONGO NA KUSHAURI UANGAIKAJI KWA WOTE.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 5 April 2014 | 21:36

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali kuingiza ‘chapaa’ na wasiendekeze kuhongwa fedha na mapedeshee kwani ni aibu.

Akistorisha na paparazi wetu pasipo kuweka wazi kama alishawahi kuhongwa au la, Lulu alitiririka:

“Jamani wasichana wote tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa fedha na matajiri kwani hizi zina mwisho wake, siku hizi mambo yote ni kujishughulisha.” 
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa