Mwanzo » » SHAKIRA AKIRI KUDANYA WADAU KWA KUDAI KUWA MPENZI WAKE ALIMZUIA KUSHIRIKI VIDEO MODELS WA KIUME KATIKA VIDEO ZAKE.

SHAKIRA AKIRI KUDANYA WADAU KWA KUDAI KUWA MPENZI WAKE ALIMZUIA KUSHIRIKI VIDEO MODELS WA KIUME KATIKA VIDEO ZAKE.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 5 April 2014 | 21:25

article-2421043-1BD5B34E000005DC-19_634x930Wiki chache zilizopita mwanamuziki Shakira alikaririwa akisema kwamba mchumba wake ambaye ni mwanasoka wa klabu ya FC Barcelona Gerard Pique amemkataza kuendelea kufanya video na models wa kiume. Kauli hiyo ya Shakira ambaye anatamba na ngoma yake ya ‘Cant Remember to Forget You’ ilitengeneza vichwa vya habari vingi sana.
Sasa ikiwa zimepita siku kadhaa mwanamuziki huyo raia wa Colombia jana alitumia mtandao wa Facebook kupitia akaunti yake rasmi na kusema kwamba alikuwa anatania na sio kweli kwamba Pique amemkataza kushirikiana na models wa kiume kwenye videos zake.
SHAKIRA copyque
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa