Mwanzo » » MAPENZI YA BEYONCE NA JAY-Z YAWAZIDIA KAMERA ZA WANASA WAKIFANYA UCHAFU ...CHECK PICHA.

MAPENZI YA BEYONCE NA JAY-Z YAWAZIDIA KAMERA ZA WANASA WAKIFANYA UCHAFU ...CHECK PICHA.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 5 May 2014 | 23:37


Katika maisha ya umaarufu kuwa makini kwa kila unachokifanya ni jambo la muhimu na kwa kufanya hivyo ni njia moja wapo ya kulinda heshima na jina lako kama mhusika hasa ukizingatia jina ni moja ya njia kuu ya biashara.

Kulinda heshima ni jambo ambalo viatu vyake mhusika mwenye ndiye anayepaswa kuvivaa kikamilifu kwakuwa mtu unapokuwa maarufu wapo wengi wasioridhika na hatua uliopo na wanachokuwa wakiwaza na kukifanya ni kukuchafulia jina lako hata wakati mwingine kutumia njia ya kukuchafulia kama njia ya biashara kwao.

Jay-Z na Beyonce ni wapenzi wanaoonekana kudumu katika mpenzi kwa muda sasa na hata kutajwa kuwa ni kati ya wapenzi wanye uhsawishi mkubwa katika ulimwengu wa mitindo na burudani.

Hivi karibuni wawili hawa walikuwa katika viwanja vya starehe na wakiwa katika kujimwaya mwaya walionekana wakifanya jambo lisilo la kwaida na picha za jambo hilo alilokuwa akilifanya Jay-Z kwa Beyonce kuonekana kuwa halikupaswa kuonekana hadharani kama wapenzi.





Inaonekana kabisa pich hizo zilivuja kwakuwa nimengi yamenfanywa na wawili hao na hayajawai kuonekana lakini inaaminika kwa hili ambalo linaonekana latika picha sidhani kama wako tayari kuliweka hadharani.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa