Mwanzo » » TAZAMA LIVE TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS 2014 ZINAZOENDELEA USIKU HUU...BOFYA HAPA.

TAZAMA LIVE TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS 2014 ZINAZOENDELEA USIKU HUU...BOFYA HAPA.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 3 May 2014 | 22:56

Usiku wa kilele cha tuzo za Kilimanjaro Music Awards 2014 unatarajia kufanyika Jumamosi Mei 3.

Kwa kutambua kwamba sio wote watakaoweza kufuatilia kupitia Televisheni kutokana na baadhi

kuwa nje ya Tanzania, tukio hilo linatarajiwa kuonyeshwa moja kwa moja mtandaoni ambapo

watazamaji wataweza kufuatilia kupitia simu au kompyuta zao katika www.hassbabytz.com .

Usiku wa tuzo unatarajiwa kuanza saa moja jioni kwa  Red Carpet ambapo watangazaji Jokate

Mwegelo, Millard Ayo na Salma Msangi watawahoji mastaa mbalimbali watakaokuwa wakiwasili

ukumbini na baadaye kuungana na Mtangazaji wa EATV Sam Misago katika Social Media

Lounge kuelezea yanayojiri katika tuzo na kuhojiana na washindi ...


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa