Katika muziki wa Bongo Fleva kwasasa kuna vichwa kadhaa vinavyo sumbua kwa sauti tamu na mashairi yenye msisimko enakuwa usikiliza kazi zao.
Huyu hapa aliyefanya vizuri kwa ngoma yake ya JICHUNGE wa kuitwa Baraka Andrea alimaarufu kama Baraka Da Price na sasa anakuletea utamu wa sauti mwingine katika masikio kwa kuachia ngoma yake mpya kabisa JINA: SIO FINE.
Post a Comment