D KNOB |
SURA YA MTANDAO |
SURA YA MTANDAO |
Rapper ambaye amawika sana na ngoma kadhaa ikiwemo Njoo Tucheze miaka ya 2005-2006 na kusifika kwa matumizizi yake mazuri ya sauti kama rapper wa sauti ya kipekee wakujulikana kama D KNOB afungua mtandao wa kibiashara online ambao unajulikana kama www.mitaanimostwanted.co.tz ambao utakuwa kisimamia kazi za sanaa na kuandaa project kadhaa kuakikisha pesa kwa mhusika inaingia na cha zaidi ushirikiano upo kati ya Marcochali FOUNDATION hivi kwa vyovyote kama utaona kuna uwezekano wa we kama shabiki kusupport basi usisite kufanya hivyo.
Post a Comment