|
HEMED PHD |
|
HEMED PHD NA MR BLUE |
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva amefanya Byser Bablone Mr Blue kusema kuwa yeye hakukata kutoa ushirikiano bali tu ni ubusy tu wa kazi amabazo zimekuwa zikimlazimu kumpeleka nje ya nchi jambo lililompelekea kukosa nafasi ya haraka kushoot vipande vya wimbo wa Hemed PHD ft Mr Blue-The Rest Of My Life Jambo ambalo lilipelekea Hemed kushoot bila Mr Blue na Hemed PHD katika anaonekana katika verses za Mr Blue akiimba badala yake na Blue ameahaidi kama Hemed atakauwa na Second Version atakuwa tayari kushiriki lakini ukweli ni kwamba hakukataa.
Post a Comment