Mwanzo » » HEMED PHD NA ZUHURA GORA MAPENZI HAYAJIFICHI SASA

HEMED PHD NA ZUHURA GORA MAPENZI HAYAJIFICHI SASA

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 18 October 2013 | 15:52

HEMED PHD NA ZUHURA GORA

HEMED PHD

Star wa Bongo movie na Bongo Fleva Hemed PHD ambaye kwa sasa amekuwa kimya kiasi kwani yuko zaidi zaidi katika kusaka pesa katika tasnia ya movie na akiwa ni msanii ambaye amekuwa msiri sana katika maisha yake ya kimapenzi akiwa pia ni msanii aliyewahi jiita shoga ikiwa ni moja ya njia ya kumake headlines.
ZUHURA GORA

Kwasasa HEMED PHD mahusiano yake yamekuwa yamejificha bila kuficha sisi ingawa harakati za kumpata HEMED zimegonga mwamba japo angezungumzia suala hili la mahusiano yake namwanamitindo ZUHURA GORA ambaye pia mbali na kuwa mwana mtindo pia ni video MODEL kwa kwa wafatiliaji mnaweza kukumbuka alitokea katika wimbo wa rapper Proffesa Jay ile ya Kiligado na pia amweahi tokea katika movie THE BEAUTY FOOLS kama actress kwasasa CLICK BONGO inakufahamisha kuwa ZUHURA na HEMED ni wapenzi na muda wowote kuazia sasa watatanagza ndoa kama hakutakuwa nalakutokea kupelekea watengane.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa