WASTARA KATIKA MATIBABU |
Msanii wa filamu za bongo mwenye sifa ya kuwa na mapenzi ya dhati katika maisha yake ya kuishi na mume wake kipenzi SAJUKI(R.I.P) ambaye alipoteza maisha kwa uginjwa uliosumbua muda mrefu miezi kadhaa iliyopita na kumuacha mkewe WASTARA katika majonzi kwani alimpenda sana,WASTARA hivi karibuni alikuwa katika mpango wa kuweka mguu mwingine wabandia kama repair huko nchini KENYA ambako akiwa katika mazoezi mara baada ya kuwekewa mguu mpya wa bandia alijipata kuumia wakati akifanya mazoezi ya mguu mpya na alirudi nchini Tanzania ili kupuzika na baada ya sikukuu anajipanga kurudi KENYA kwa ajili ya kuendelea na matibabu yake.
Post a Comment