Mwanzo » » NEY WA MITEGO ASEMA CHID BENZ HAJAACHA AMADAWA

NEY WA MITEGO ASEMA CHID BENZ HAJAACHA AMADAWA

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 19 October 2013 | 10:52

CHID BENZ

Rapper Ney wa Mitego ambaye majuzi kati tu tulipoata taarifa za yeye kuingia katika knyang'anyiro kikali na wasanii kama msanii bora wa kiume toka Tanzania ambaye pia amekuwa masnii wa kwanza toka Bongo kukubali kuwa amewahi kujihusisha na madawa ya kulevya aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na kipindi cha DUNDO kinacho rushwa kupitia MJ FM iliyoko mkoa wa Arusha alipoulizwa kuwa anamzungumziaje msanii CHID BENZ yeye kama Rapper.
NEY WA MITEGO

Ney alitoa maelezo ya kina kuhusu rapper CHID BENZ na  kudai kiukweli awali alikuwa miongoni mwa mashabiki wa CHID lakini kutokana na uandamano wa matukio ya ugomvi ugomvi yaliyokuwa yakimuhusu CHID BENZ yalimpelekea kujitoa katika orodha ya wasanii wanaomkubali CHID na akasema inawezekana madawa ndio yalikuwa yakimsababishia hali kama ile.

Akizungumza alitilia mashaka kauli ya CHID ya kudai kuwa aliacha madawa ya kulevya kama alivyokwisha sema na kuselezea kuwa kama kweli CHID BENZ angekuwa ameacha madawa kama anavyosema basi sisi kama wadau tungeishaona mabadiliko katika system ya maisha yake na akatika hilo NEY alidai kuwa kuna uwezekano mkubwa CHID akawa anaendelea na matumizi ya madawa.

http://old.hulkshare.com/4f6a7b2xwjls
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa