SAPPY |
Mtayarishaji toka Tanzania anayefanya kazi zake za utayarishaji nchini Kenya ameyasema hayo mara baada ya kuonekana akifanya kazi kama msanii na kusema kuwa kufanya kwake muziki ni kwakuwa naweza kufanya muziki nasio kwamba yeye yuko tayari kuitwa msanii mkali bali yeye yuko tayari kuitwa mtayarishi mkali.
SAPPY |
Akitoa maelezo kuhusu ugumu wa yeye kukutana na kufanya kazi na wasanii wa kimataufa alijibu kuwa kwa upande wake hajaona ugumu wowote wa kufanya kazi na wasanii wakubwa kwani mbali kwa yeye kufanya kazi na PREZZO bila usumbufu wa haina yoyote lakini pia DEMARCO hakumsumbua katika REMIX ya wimbo wake RED SAN (BADDER THAN MOST).
Post a Comment