Mwanzo » » TOKA SNOOP DOGGY,KUWA SNOPPY LION MPAKA SNOOPY ZILLA

TOKA SNOOP DOGGY,KUWA SNOPPY LION MPAKA SNOOPY ZILLA

Imewekwa ma Unknown siku Friday 18 October 2013 | 12:57

SNOOP ZILLAH KWA SASA


Mkali wa rap music baada ya miaka kadhaa iliyopita kusikika akitangaza biashara ya pipi yenye radha ya bangi na hata baadae pia akasikika kuwa kabadilisha jina toka Snoopy Dogg na kijiita Snoop Lion ambapo kufanya kwake hivyo ilikuwa ni kwa lengo ka kufanya promo ya wimbo wake wa Raincarnated iliyokuwa na maadhi flan ya Raggae na kwa sasa yuko katika hatua za kuprmote project yake mpya inayokwenda kwa jinaambayo kaikamilisha na muimbaji Dam-Funk inayokwenda kwa jina la '7 Days of Funk'    hivyo basi wale wadao wa muziki na kazi kibao za rapper Snoopy mtegemee majina kibao yanayotengenezwa kwa ajili ya kupromote kazi zake ili kupata soko zuri katika game.

Tumekuwa tukiona wasanii wetu wa Bongo wakibadili majina tu kwasababu tu za marafiki au watu wao wa karibu tu kuwapa majina hayo au jina flani kuzoeleka na mwisho kulifanya kuwa jina la kazi lakini kwa wenzetu haiko hivyo hasa kwa Snoopy ambapo yeye anabadilisha jina kwa ajili ya kusogeza biashara mbele na kuna uwezekano mkubwa sana akawa amefanikiwa mara kadhaa kupitia njia hii ndio maana ameamua kuichagua ka kuitumia mara kadhaa kila anapotaka kuleta biashara yake sokoni.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa