|
WEMA SEPETU |
Wasanii katika tasnia ya burudani ya bongo kutoka katika muziki wa bongo fleva yaani mkali anayeendelea kufanya vizuri Diamond Platnumz na Malikia wa Movie Bongo Wema Sepetu wanazidi kusupportiwa na mashabiki kwa kinachoendelea mtandaoni hasa katika picha za hivi karibuni wanazoonekana WEMA na DIAMOND kuwa katika mahaba mazito kitu kiachosupotiwa na mashabiki kwa kusema maneno ya kumaanisha kuwa DIAMOND na WEMA wawe tu wapenzi kwani wanaedana na kuhusu DIAMOND kuwa na PENNY hawasuport bali kinachoendele ni kupondea mahusiano ya PENNY na DIAMOND kwasasa.
|
MAHABANI DIAMOND NA WEMA |
Limebaki kuwa ni swali la kujiuliza bila kupata jibu kuhusu picha hizi za mahaba zinazozagaa mtabdaoni wasijue kinachoendelea mtandaoni na hasa ambaye hajasikika akizungumzia kwa undani kuhusu picha hizo ni WEMA SEPETU bali ambaye ameshazungumza kupitiaukurasa wake ni DIAMOND PLATNUMZ kwa kudai kuwa picha zile ni za movie inayoandaliwa ikiwa yeye na WEMA ni washiriki tu katika movie ambayo anadai itakwenda kwa jina la THE TEMPTATIONS.
Post a Comment