Mwanzo » » B' HITS MUSIC GROUP HAWANA KAULI TENA KWA MABESTE NA VANESSA MDEE

B' HITS MUSIC GROUP HAWANA KAULI TENA KWA MABESTE NA VANESSA MDEE

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 21 November 2013 | 15:18

VANESSA MDEE
Music Group iliyochini ya Pancho Latino B' HITS MUSIC GROUP imewapoteza wakali waliokuwa chini yao ambapo mwanzo kupitia Kipindi cha SHOW TIMES NEW CHAPER kuwa kwasasa hayuko chini B' HITS tena na yuko chini ya labe nyingine mpya label ambayo inamaamuzi yote kuhusu muzuki wake ambapo kati ya watu wanaommanage amemtaja mtangazaji wa kituo cha CHOICE FM ABBY kuwa yuko katika management inayommnage.


Vanessa Mdee ambaye tangu kusikika kwake ameachia ngoma mbili tu ikiwa ni ''CLOSER'' na ''COME OVER'' ambyo ni ngoma mpya kwake kwasasa iliyotengenezwa n mtayarishai Nahreel na Erasto na mbali na Vanessa kuthibitisha kutokuwa kwake chini ya B' HITS hakuweka wazi ni sababu zipi zimepelekea yeye kuwa nje ya ya label hiyo.

MABESTE

Pia mkali mwingine wa ngoma ya DOLE Mabeste naye alitoa taarifa kupitia ukursa wake wa Facebook kuwa hayuko tene chini ya B' HITS kwa ufupi tu na ye pia hakuweka wazi nini kimepelekea yeye kuwa nje ya label hiyo mbali na mashabiki wake kumuuliza nini shida mpaka anajitoa B' HITS.


COMMENCTS ZA WADAU BAADA YA POST HAYUKO CHINI YA B' HITS

HIKI NDICHO ALICHOKIPOST MABESTE

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa