Q CHILLAH |
''Wameshindwa,wamekaa tu kufanya kazi zao za kujipromote wao,this is very stupid'' amesema Q CHILLAH.
''Kauli yao tu ni faraja kwa hawa jamaa wangeona kuna watu kule nje hata kama hawana uwezo wa kututoa na kuiambia serikali itutoe,kwamba kuna watu wako touched na hii issue. Always wanasubiri mu afe au jambo hili litokee ndo wajitokeze wzungumze.Nahisi kila mtu anaishi kwasababu anafanya kazi zake na afulfill dreams zake ,but we are not there for other people who need hata kauli zetu. Ukizungumza unaonekana una stress ila Mungu ana sheria zake na Serikali ina Sheria zake snakubaliana na hilo''
Post a Comment