|
MKE WA PETER OKOYE ''LOLA AMOTAYO'' |
|
PETE OKOYE |
Mkali anaye kamilisha kundi la mapacha wawili P-SQUARE ''PETE OKOYE'' amabaye juma lililopita alifunga ndoa rasmi na mkewe ''LOLA OMOTAYO'' Kwa mara ya kwanza kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha ya mkewe na kuuliza swali kwa maneno machache yasemayo ''Isn't she luvly and beautiful?''
Post a Comment