|
MABESTE |
Rapper Mabeste ameondoa ukimya kupitia ukurasa wake wa facebook baada ya taarifa kupitia vyombo vya habari ambavyo Hermy B alipata nafasi kuzungumza na kusema kuwa yeye ndiye anayemlipia pango na kumvisha Mabeste na mengne mengi amabayo Mabeste amekanusha kuwa ni uongo kuwa sio habari za kweke na kuwaahidi mashabiki wake kuwa kupitia media atafunguka ukweli kuhsu kilicho muondoa B' Hits ambapo kupitia ukurasa wake wa facebook amebainisha baadhi ya mabo yaliyopelekea yeye kujiondoa B' Hits.
|
HIKI NDICHO ALICHOKIPOST MABESTE KUHSU UKWELI WA YEYE KUJIONDOA B' HITS |
Post a Comment