|
BABY MADAHA |
Baada ya tuhuma za msanii Baby Madaha kuwa kuna uwezekano natumia dawa za kienyeji kuwakamata wa naume kimahaba,sasa Baby Madaha afunguka na kusema sio hivi wafikiriavyo bali ni uwezo wake mzuri kitandani ndio maana wanadata pindi wakitapa nafasi ya kulamba hasali kwa maana awapo uwanjani kila kona za mchezaji mwenzake kumuwezesha ufungaji wa magoli kwa raha zaidi.
"Situmii dawa yoyote.Ni ufundi wangu tu ninapokuwa kitandani na mwanaume. Nayajua mapishi na najua njia zote za kumpagawisha mwanaume hata awe mgumu kiasi gani" alifunguka mwandada Bby Madaha.
Post a Comment