WEMA NA CHID ENZI ZA USHIRIKIANO KATIKA KAZI |
Hivi karibuni mwandada mkali wa filamu bongo ana aliyewahi kuwa miss Tanzania 2006 baada ya kuibuka mshindi kwa urembo na kuwa amekidhi vigezo vyote ambaye pia anazidi kufanya vizuri katika tasnia ya filamu Tanzania ambaye pia anamiliki Kampuni yake binafsi inayokwenda kwa jina ''ENDLESS FAME PRODUCTION '',hivi karibuni aliigia katika Kashfa ya vitendo ya ufusika katika kampuni yake baada ya kijana ajulikanaye kama CHI ambaye ndiye alikuwa DIRECTOR wake wa karibu zaidi katika kazi zake kueuza magari ya WEMA SEPETU guest house kwa kuyatumia kumaliza haja zake na mademu na hata kug'oa mdemu wakali kuwa kutumia magari ya kifahari anayomiliki WEMA baada ya kumpa uhuru wa kuyatumia kikazi.
Wema Sepetu amemfukuza director CHID kuepukana ka Kashfa ya ufusika wa kijana huyo hasije kuonekana kulinda maovu na pia ikiwa ni moja ya njia ya kendelea kulinda kazi zake zisichafuliwe na tabia mbaya za baadhi ya wafanya kazi kama alivyo CHID jambo litakalo mlindia heshima na kuleta picha nzuri katika kazi na liwe onyo na fundisho kwa wengine weliochini ya kampuni yake kufanya kazi wakiwa ndani ya maadili mema kwani maadili mema yanajenga zaidi kazi.
Post a Comment