Mwanzo » » BELLE 9 AWEKA WAZI KINACHOMSUKUMA KUENDELEA KUKAA MOROGORO

BELLE 9 AWEKA WAZI KINACHOMSUKUMA KUENDELEA KUKAA MOROGORO

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 28 November 2013 | 22:58

BELLE 9
Msanii anayeiakilisha mji kasoro bahari MOROGORO ambaye anaweza kujulikana kama mkali wa chorus/viitikio hapa bongo kwasababu ameshaonesha uwezo katika ngoma kadhaa kali ikiwemo ya mkali toka MOROGORO pia wa kujulikana kama Afande Sele katika ngoma yake iliyo na mda mchache tangu kutoka kwake inayojulikana kama DINI TUMELETEWA ambapo Belle 9 kashika Chorus kali.

 Kwasasa Belle 9 ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina WANITAKA ikiwa ni ngoma ya maadhi ya kiafrika zaidi.


Akizungumza kupitia kituo flani cha Radio katika interview Belle 9 amesema kuwa kikubwa kinachomfanya azidi kuweka makazi yake MOROGORO tufauti na wasanii waliowengi hamia jijini DAR kwa madai ya kusema kuwa ni mji wa biashara kwasababu yeye kwa sasa yuko na familia ambapo yuko na mtoto mmoja ambaye amempata na mwandada anayeishi naye kama mkewe japo bado hajamuoa kwani ameshamtambulisha kama mchumba hivyo kilichobaki kwasasa ni ndoa tu binti anayejulikana kwa jina NIA.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa