SNURA MUSHI |
KATIKA PICHA MKONO WA KUSHOTO NDIYE NDUGU ALIYEFARIKI NA KULIA NI SNURA AKIUGULIA UCHUNGU WA TAARIFA ZA MSIBA |
Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya Snura Mushi ''SNURA'' amepata msiba wa kufiwa na kaka yake mchana waleo na kwasasa hakuna taarifa zaidi...tunazidi kufanyaa jitihada za kujua nini kitaendelea,endelea na nini chanzo cha kifo cha kaka huyu kuwa nasi na taarifa zitakufikia kila zinavyochipuka.
Post a Comment